Home » » PICHA za Party ya mtoto wa Diamond na Hamisa Mobetto. Party ilikuwa ni fire

PICHA za Party ya mtoto wa Diamond na Hamisa Mobetto. Party ilikuwa ni fire

Written By Bewith Jeddy on Saturday, October 14, 2017 | 1:43 PM

 Mrembo Hamisa Mobetto usiku wa October 13 2017 alifanya Party ya mtoto wake ambae amezaa
na Mwimbaji Diamond Platnumz ambapo kwenye hiyohiyo party Hamisa alikubali kuhojiwa na Soudy Brown na kujibu maswali mbalimbali.
Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni kama anamchukia Zari ambapo alisema hamchukii na wala haoni kama chuki zinasaidia, anatambua kwamba watoto wao ni ndugu ambapo pamoja na yote wanayopitia kama Wazazi anaamini kuna siku watapatana.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments :

Post a Comment