Home » » Lionel Messi Afunga ndoa

Lionel Messi Afunga ndoa

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, July 11, 2017 | 8:27 AM

Lionel Messi, mchezaji wa mpira katika club ya Barcellona, amefunga ndoa na Antonella Roccuzo  mwanamke aliyefahamiana naye akiwa na miaka 5 ambaye pia ni Mama wa watoto wake 2 wa kiume.


Messi mwenye umri wa miaka 30 na mkewe miaka 29, amefunga ndoa yake uko Argentina na ndoa yake kuhudhuriwa na watu zaidi ya 250 na kuwa na ulinzi wa Polisi 450.  


0 comments :

Post a Comment