Home » » Mama Magufuli asherehekea hivi siku yake ya kuzaliwa

Mama Magufuli asherehekea hivi siku yake ya kuzaliwa

Written By Bewith Jeddy on Monday, April 10, 2017 | 1:56 PM


 
 
 
Mke wa Rais mama Janeth Magufuli jana jumapili ya April 9 2017 alisherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea na kutoa msaada katika hospitali ya Ocean Road Dar es Salaam.

Licha ya mama Magufuli kuamua kusherehekea Birthday yake kwa kutembelea hospitali ya Ocean Road na kutoa msaada katika taasisi ya saratani hospitalini hapo, ameweka wazi kuwa Ocean Road ndio hospitali aliyozaliwa.

0 comments :

Post a Comment