Home » » Caitlyn Jenner (Bruce Jenner) Baba yake wa Kambo na Kim Kardashian afanyiwa upasuaji wa kubadilisha jinsia yake

Caitlyn Jenner (Bruce Jenner) Baba yake wa Kambo na Kim Kardashian afanyiwa upasuaji wa kubadilisha jinsia yake

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, April 11, 2017 | 12:02 PM

Caitlyn Jenner (Bruce Jenner) Baba yake wa Kambo na Kim Kardashian toka alivyoamua kuwa mwanamke Juni, 2015 alikuwa akitumia dawa za kubadilisha hormones za kiume kuwa za kike, na mwezi Januari, 2017 ameamua kabisa kuwa na jinsia ya kike kwa kufanyiwa upasuaji.. 

0 comments :

Post a Comment