Home » » Waliomdhalilisha mwanamke kwa kumbaka na kumpiga picha wafikishwa Mahaka...

Waliomdhalilisha mwanamke kwa kumbaka na kumpiga picha wafikishwa Mahaka...

Written By Bewith Jeddy on Wednesday, May 18, 2016 | 1:58 PMWatuhumiwa  wa tukio la ubakaji na udhalilishwaji lililofanywa na wanaume wawili dhidi ya mwanamke mmoja ambaye alipigwa picha na kusambazwa katika mitandao ya kijamii lililotokea Dakawa Mkoani Morogoro.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro muda huu kujibu shtaka hilo.

0 comments :

Post a Comment