Home » » Tanzia ...mtunzi wa kitabu cha "Ngoswe penzi kitovu cha uzembe" afariki dunia

Tanzia ...mtunzi wa kitabu cha "Ngoswe penzi kitovu cha uzembe" afariki dunia

Written By Bewith Jeddy on Monday, January 18, 2016 | 10:19 AMTanzia: taarifa ya kifo cha mwandishi, muigizaji na mhadhiri wa chuo kikuu cha Daresalaam na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa vitabu nchini (UWAVITA ), Edwin Semzaba.

Moja kati ya kazi alizofanya enzi ya uhai wake ni kitabu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Ameen


0 comments :

Post a Comment