Home » » Rais Magufuli Aonesha Umahiri Katika Ushonaji

Rais Magufuli Aonesha Umahiri Katika Ushonaji

Written By Bewith Jeddy on Thursday, January 21, 2016 | 10:52 AM

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es Salaam Januari 20, 2016.

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.
Picha: Ikulu

0 comments :

Post a Comment