Home » » Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye Muhimbili

Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye Muhimbili

Written By Bewith Jeddy on Monday, January 11, 2016 | 3:32 PM

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016.
(Picha na Ikulu)

0 comments :

Post a Comment