Home » » Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar

Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar

Written By Bewith Jeddy on Friday, January 15, 2016 | 8:45 AMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14,
2016. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu 

Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa. Picha na IKULU.

0 comments :

Post a Comment