Home » » Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto

Written By Bewith Jeddy on Thursday, January 28, 2016 | 12:34 PMWawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini.

Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram.

Bongo5

0 comments :

Post a Comment