Home » » Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki dunia

Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki dunia

Written By Bewith Jeddy on Monday, January 18, 2016 | 3:00 PMMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said enzi za uhai wake.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea,taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleiman alikimbizwa hospitali ya Agakhan kwa matibabu, na baadae ikaelezwa kuwa amekwisha fariki na kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika leo.

0 comments :

Post a Comment