Home » » Breaking News: Samatta Mchezaji Bora Afrika

Breaking News: Samatta Mchezaji Bora Afrika

Written By Bewith Jeddy on Friday, January 8, 2016 | 8:24 AM

Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora anayechea soka barani Afrika na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe) Usiku huu mjini Abuja, Nigeria.Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 2015.

0 comments :

Post a Comment