Home » » Wasanii sasa kuanza kulipwa na Radio na TV stesheni kazi zao zinaporushwa hewani

Wasanii sasa kuanza kulipwa na Radio na TV stesheni kazi zao zinaporushwa hewani

Written By Bewith Jeddy on Friday, December 18, 2015 | 5:00 PMSerikali yatangaza kuanzia Januari 2016 wasanii watalipwa na Televisheni na vituo vya redio vitakavyokuwa vinatumia nyimbo zao.
Hatua hiyo ilifikiwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa.

0 comments :

Post a Comment