Home » » Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar…..

Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar…..

Written By Bewith Jeddy on Friday, December 18, 2015 | 11:00 PM

Headlines za bomoabomoa zimeendelea tena leo Dec 18 ambapo zoezi hilo limeendela kwenye wilaya ya Kinondoni na kubomoa nyumba za wakazi waliokuwa wakiishi maeneo hatarishi hasa bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni.

Hizi ni picha 20 za tukio zima la ubomoaji linaloendelea muda huu.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments :

Post a Comment