Home » » Msichana aliyemuua mchumba wake kabla ya harusi Kinondoni majuzi huyu hapa

Msichana aliyemuua mchumba wake kabla ya harusi Kinondoni majuzi huyu hapa

Written By Bewith Jeddy on Thursday, December 3, 2015 | 10:50 AM

Marehemu Geofrey aliyepigwa kisu na mchumba wake siku chache kabla ya kufunga ndoa.
 Mtuhumiwa aliyemuua Mchumba wake


MADAI MAZITO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar limesema linamshikilia mwanadada Rhoda Daudi kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchoma kisu, Geofrey Valeli Kapulula (37) aliyetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni.
Tukio hilo la kutisha na ambalo limeacha maswali, lilijiri maeneo ya Ubungo National Housing (NHC) jijini Dar es Salaam...

0 comments :

Post a Comment