Home » » Lowassa bado ana ndoto za kuwa Rais

Lowassa bado ana ndoto za kuwa Rais

Written By Bewith Jeddy on Thursday, December 10, 2015 | 11:44 AMALIYEKUWA Mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu ulioisha hivi karibuni na kushindwa vibaya na Mgombea wa CCM Dr Magufuli ,Edward Lowassa amesema kuwa bado ana ndoto za kuwa Rais wa Tanzania.

Lowassa amesema hayo jana wakati alipokuwa katika kampeni za chama hicho Arysha Mjini ambapo aliwaambia watu kuwa anataka kugombea tena mwaka 2020 kama atakuwa na nguvu na afya njema.

0 comments :

Post a Comment