Home » » Kova kustaafu rasmi leo

Kova kustaafu rasmi leo

Written By Bewith Jeddy on Thursday, December 31, 2015 | 12:00 PMKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova akiongea na ITV leo asubuhi, atangaza kustaafu rasmi jeshi la polisi, leo ni siku yake ya mwisho.

0 comments :

Post a Comment