Home » » Hivi ndivyo Waziri wa Kazi na ajira alivyowacharukia Wachina wa Kariakoo, na wafanya kazi feki nchini, ona hapa live

Hivi ndivyo Waziri wa Kazi na ajira alivyowacharukia Wachina wa Kariakoo, na wafanya kazi feki nchini, ona hapa live

Written By Bewith Jeddy on Thursday, December 17, 2015 | 5:30 PMWAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi, Ajira Vijana na Walemavu Mhe Jenista Mhagama amewacharukia waajiri wasiotaka kufuata sheria za ajira nchini kwa kuajiri raia ambao sio watanzania bila kufuata utaratibu,huku akisema wazi waajiri wote waliokiuka taratibu hizo anawapa wiki mbili kuhakikisha wanawafuta kazi waajiri hao au kushughulikia vibali vyao vya kazi.


0 comments :

Post a Comment