Home » » Hii ndo kasi ya Rais Magufuli......barabara ya Mwenge - Morocco ishaanza kutengenezwa asubuhi hii baada ya agizo la jana

Hii ndo kasi ya Rais Magufuli......barabara ya Mwenge - Morocco ishaanza kutengenezwa asubuhi hii baada ya agizo la jana

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, December 1, 2015 | 2:18 PM

 


Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

CREDIT - MTAA KWA MTAA 

0 comments :

Post a Comment