Home » » Breaking News: Makontena 9 yakamatwa Dar

Breaking News: Makontena 9 yakamatwa Dar

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, December 1, 2015 | 11:52 AMJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamekamata makontena 9 wanayoyatilia mashaka kuwa, huenda yalikuwa yanatoroshwa. Makontena hayo yamekamatwa eneo la Tanki Bovu katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mpaka sas bado haijafahamika ndani ya makontena hayo kuna nini.

Source: GPL

0 comments :

Post a Comment