Home » » Picha za Miss Universe yaliotikisa Dar

Picha za Miss Universe yaliotikisa Dar

Written By Bewith Jeddy on Saturday, November 21, 2015 | 10:23 AM

Usiku wa November 20 2015 ulimwengu wa urembo Tanzania umeandika historia nyingine kubwa na nzuri ambapo mrembo mmoja aliibuka na ushindi wa taji la Miss Universe 2015 !! anahesabu siku chache tu kugusa stage ya Miss Universe duniani !

List ya warembo waliogusa TOP 3 ya Miss Universe 2015 ilikuwa hivi:Washindi wenyewe kwenye ubora wao, Lilian Loth (mshindi wa pili kushoto), Lorraine Marriott (mshindi wa kwanza katikati) na Willice Donald (mshindi wa tatu kulia)

0 comments :

Post a Comment