Home » » Breaking news : Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni awasha moto, awaweka rumande ma afisa ardhi

Breaking news : Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni awasha moto, awaweka rumande ma afisa ardhi

Written By Bewith Jeddy on Wednesday, November 25, 2015 | 3:00 PMMkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.

Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na kuairisha shughuli hiyo hadi kesho.

0 comments :

Post a Comment