Home » » Breaking news : Bomoa bomoa Dar leo

Breaking news : Bomoa bomoa Dar leo

Written By Bewith Jeddy on Wednesday, November 18, 2015 | 12:33 PM

Baadhi ya majengo yaliyokuwa na maduka yamebomolewa.Hapa Mwenge opposite magorofa ya Jeshi kazi inaendelea, hasara ni kubwa, kazi imeanza saa kumi usiku mpaka sasa hivi kazi inaendelea.

Bomoabomoa hiyo inaendelea eneo la mwenge karibia na maghorofa ya jeshi, wakazi wa eneo hilo wanadai kuwa hawakupewa taarifa kuwa bomoabomoa inakuja.

Wakazi wa eneo hilo walalamikia hasara kubwa iliyowakumbwa, washindwa kuokoa vitu vilivyoko ndani.Zoezi hilo likiendelea katika eneo la Mwenge

0 comments :

Post a Comment