Home » » Tatu bora iliyopitishwa na NEC

Tatu bora iliyopitishwa na NEC

Written By Bewith Jeddy on Saturday, July 11, 2015 | 9:00 PM

Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni:
1.         John Magufuli
2.         Asharose Migiro
3.         Amina Salum Ali.

Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015. 

0 comments :

Post a Comment