Home » » Simanzi: Mwanamuziki Banza stone afariki dunia

Simanzi: Mwanamuziki Banza stone afariki dunia

Written By Bewith Jeddy on Friday, July 17, 2015 | 3:05 PMStaa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba
huo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

0 comments :

Post a Comment