Home » » Msanii wa vichekesho Kenya Ojwang' afariki dunia

Msanii wa vichekesho Kenya Ojwang' afariki dunia

Written By Bewith Jeddy on Monday, July 13, 2015 | 11:53 AMOjwang' mwigizaji wa vichekesho nchini Kenya amefariki dunia, ITV ilikuwa ikionyesha maigizo yao ya vitimbi akiwa na mchekeshaji Mwala na Mama Kayaii.

0 comments :

Post a Comment