Home » » Mpasuko wa Makada ndani ya CCM

Mpasuko wa Makada ndani ya CCM

Written By Bewith Jeddy on Saturday, July 11, 2015 | 10:43 AMMpasuko CCM,Kamati kuu imemaliza kazi yake muda huu,Nape amesema hawawezi kutangaza majina matano yaliyopita,huku Dr Emmanuel Nchimbi,Adam Kimbisa na Sofia Simba,wakisema hawakubaliani na maamuzi ya kamati kuu,inadaiwa yamepitishwa majina matano tu kati ya 38 ambayo yamewaacha wana CCM wenye nguvu na wanaoonekana kukubalika,nape anasema majina hayo yatatajwa na yatajadiliwa kesho,Nchimbi anasema wagombea wanaokubalika sana wamekatwa.

0 comments :

Post a Comment