Home » » Jambazi nguli muuza madawa atoroka jela kimaajabu

Jambazi nguli muuza madawa atoroka jela kimaajabu

Written By Bewith Jeddy on Monday, July 13, 2015 | 11:49 AMEl Chapo jambazi muendesha magenge ya uuzaji dawa za kulevya nchini Mexico ametoloka jela baada ya kupita kwenye bomba lenye urefu wa kilomita moja na nusu.Bafu lake kwenye chumba alichokuwa amefungiwa limeungana na bomba hilo hadi,sasa hajulikani alipo.

0 comments :

Post a Comment