Home » » CCM yatangaza wagombea watano wa Urais

CCM yatangaza wagombea watano wa Urais

Written By Bewith Jeddy on Saturday, July 11, 2015 | 10:30 AMKikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi.

0 comments :

Post a Comment