Home » » Petitman amzawadia wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

Petitman amzawadia wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, February 3, 2015 | 3:39 PM
Mjaja wa Mjini Kijana Petitman Wakuache ambae ni Shemeji wa Mwanamuziki Diamond Jana Ameendeleza Series ya zawadi za Magari kwenye sherehe za kuzaliwa baada ya kumzawadia mke wake gari aina ya Toyota Porte.0 comments :

Post a Comment