Home » » Majambazi yavamia tena kituo cha polisi Mngeta na kuiba bunduki moja na risasi 30 - Kilombero

Majambazi yavamia tena kituo cha polisi Mngeta na kuiba bunduki moja na risasi 30 - Kilombero

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, February 3, 2015 | 12:30 PMKITUO kidogo cha polisi Mngeta kilichopo Wilayani Kilombero mkoani Morogoro kimevunjwa na kuibwa bunduki moja aina ya SMG na risasi 30.

0 comments :

Post a Comment