Home » » Kweli Bongo Flava Inalipa Ona Jumba la Kifahari la Mwanamuziki JUX

Kweli Bongo Flava Inalipa Ona Jumba la Kifahari la Mwanamuziki JUX

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, February 3, 2015 | 10:02 AMMsani mahiri wa Bongo Flava Jux leo amepost Mjengo wake kwenye Account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto, hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii wanaojituma.

0 comments :

Post a Comment