Home » » Kajala ndani ya mashuka ya Calvin Klein

Kajala ndani ya mashuka ya Calvin Klein

Written By Bewith Jeddy on Thursday, February 5, 2015 | 1:00 PMLeo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.
"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana” .
Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.
Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea
upone haraka.

0 comments :

Post a Comment