Home » » Hatimaye Joti wa Original Comedy amvisha pete mchumba waake wa siku nyingi

Hatimaye Joti wa Original Comedy amvisha pete mchumba waake wa siku nyingi

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, February 3, 2015 | 11:00 AMKwa mujibu wa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia.Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu
wachache sana kuhudhuria tukio hilo.

0 comments :

Post a Comment