Home » » Dereva wa mkuu wa wilaya Manyoni, Singida ajiua

Dereva wa mkuu wa wilaya Manyoni, Singida ajiua

Written By Bewith Jeddy on Tuesday, February 3, 2015 | 10:30 AMMuonekano wa Dereva huyo baada ya kujipiga risasi
Dereva wa Mkuu wa Wilaya Manyoni, Singida amejiua kwa kujipiga risasi kichwani leo, chanzo bado hakijajulikana japo ameacha ujumbe kuwa asilaumiwe mtu.
Mtandao huu ulimpigia simu Mkuu wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela alisema amesikia tukio hilo lakini hakuwa na uhakika. "Naomba mnitafute baadaye nitakuwa na maelezo ya tukio hilo," alisema.

0 comments :

Post a Comment