Home » » Rolene strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la miss world 2014

Rolene strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la miss world 2014

Written By Bewith Jeddy on Monday, December 15, 2014 | 8:52 AMMiss World 2014, Rolene Strauss wa Afrika Kusini.
Rolene Strauss wa Afrika Kusini ameshinda taji la Miss World 2014 jijini London usiku huu, Edina Kulcsar wa Hungary akishika nafasi ya pili na Elizabeth Safrit wa Marekani akichukua nafasi ya tatu.

0 comments :

Post a Comment