Home » » Prado yachomwa moto baada ya kuuwa 3 Bunju B, Dar

Prado yachomwa moto baada ya kuuwa 3 Bunju B, Dar

Written By Bewith Jeddy on Saturday, December 13, 2014 | 9:24 AMGari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B
jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda.

Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.


Gari Likiendelea kuteketea kwa moto.
GARI aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo Bunju B, Dar na gari hiyo kuchomwa moto na wananchi!

0 comments :

Post a Comment