Home » » Ex wa mheshimiwa Sugu avaa diaper (pampers) kwenye sherehe ya birthday yake!

Ex wa mheshimiwa Sugu avaa diaper (pampers) kwenye sherehe ya birthday yake!

Written By Bewith Jeddy on Friday, December 19, 2014 | 9:05 AMWanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku
yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!! 
Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!

0 comments :

Post a Comment