Home » » Elton John afunga ndoa na Mwanaume mwenzie David Furnish

Elton John afunga ndoa na Mwanaume mwenzie David Furnish

Written By Bewith Jeddy on Monday, December 22, 2014 | 8:24 AM

Mwanamuziki wa kiume maarufu sana Duniani  Elton John afunga ndoa na Mwanaume mwenzie David Furnish ni baada ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka 9.

Wapenzi hao wamesherehekea ndoa yao mbele ya familia, marafiki, celebrities na watoto wao 2 wa kiume Zachary mwenye umri wa miaka 3 na Elijah mwenye umri wa miezi 23.

 
 
 
 
 
 

0 comments :

Post a Comment