Home » » TAARIFA ZAIDI KUHUSU DADA AJIYEJICHOMA KISU TUMBONI

TAARIFA ZAIDI KUHUSU DADA AJIYEJICHOMA KISU TUMBONI

Written By stephen kavishe on Tuesday, October 14, 2014 | 8:30 AM

Mapenzi hatare sana!hayana cha wewe mzuri,au una cheo,au una pesa,ama hauna...yaani yakikukamata utajuta so mtu akifikiaga maamuzi ya hivi usimcheke kabisa!!....sawa na kumtukana mamba huku mto bado hujavuka Huyu ni mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa
kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.....sasa ni hivi huyu mwanafunzi akitoka hospt unaweza kumshauri vipi ili asirudie kufanya kitendo hicho??maana huwezi kujua labda bado anayo dhamira ya kujimalizia......ila wanaume mnapata dhambi sana kwa Mungu dah!hivi mwanaume akiwa na mwanamke mmoja itakuwaje??au ataonekana mshamba??....yaani tangu jana niliwaza hili tukio mpk basi...dwah ngachoka mie!!

0 comments :

Post a Comment