Home » » MWANAMKE ANAYEDHANIWA KUWA NA ULIMI MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

MWANAMKE ANAYEDHANIWA KUWA NA ULIMI MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

Written By stephen kavishe on Wednesday, October 15, 2014 | 5:00 PM

Msichana Chanel Tapper, 21 wa Houston huko Us amethibitika kuwa ndiye msichana mwenye ulimi mrefu kuliko wote Duniani na kuingizwa katika rekodi za Guinness.Mwezi September 2011 alialikwa na Guinness huko Los Angeles na kupimwa urefu wa
ulimi wake ambapo ulithibitika kuwa na urefu wa sm9.7 na kuwashinda wapinzani wake wawili.
Alieleza kuwa haoni tabu yoyote kuwa hivyo bali anachukulia kama kitu cha kufurahisha

0 comments :

Post a Comment