Home » » Hii inakubalika Bongo? Angalia video ya Irine Uwoya na Rich wakifanya 'kweli' kwenye scene ya mapenzi!

Hii inakubalika Bongo? Angalia video ya Irine Uwoya na Rich wakifanya 'kweli' kwenye scene ya mapenzi!

Written By stephen kavishe on Wednesday, October 1, 2014 | 8:00 AM


Tasnia ya filamu nchini huenda ikawa na mengi yanayofanyika nyuma ya pazia wakati wa majaribio ya kutafuta shots nzuri zenye uhalisia hasa kwenye scene za mapenzi!

Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video hii inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa kiss za uweli.

0 comments :

Post a Comment