Home » » BASI LA NAJMUNISA LAPATA AJALI MBEZI JIJINI DAR ES SALAAM

BASI LA NAJMUNISA LAPATA AJALI MBEZI JIJINI DAR ES SALAAM

Written By stephen kavishe on Monday, October 6, 2014 | 2:59 PM


Muonekano wa basi la najimunisa mara baada ya kupata ajali.

Basi la Najmunisa lililokuwa likitokea mwanza kwenda jijini Dar es salaam lilipata ajali mbaya jana usiku kwa kugongana na gari dogo eneo la Mbezi jijini dar es salaam
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari hii, hakukuwa na vifo bali abiria walijeruhiwa na kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi
Kufuatia ajali hiyo polisi walilazimika kuwatimua baadhi ya watu waliokuwa na lengo la kukwapua mali za majeruhi hao ambapo eddy blog inalaani kitendo hicho ambacho si cha kiungwana hata kidogo
Picha na Eddy Blog

0 comments :

Post a Comment