Home » » ANGALIA PICHA NA MATUKIO YOTE WALIYOFANYA NUH MZIWANDA NA SHILOLE

ANGALIA PICHA NA MATUKIO YOTE WALIYOFANYA NUH MZIWANDA NA SHILOLE

Written By stephen kavishe on Tuesday, October 14, 2014 | 9:30 AM

Nuh Mziwanda na shilole wakiwa jukwaa moja wakiburudisha mashabiki wa katika ukumbi wa matei lounge
Shilole akifanya yake jukwaani akiwa na washezo show wake wekeend hii Mkoda Dodoma kwenye ukumbi wa Matei Lounge Area D

Shilole akiimba kwa hisia stejini

hapo sasa

Shilole akienelea kuwaburudisha mashabiki wake Mkoani Dodoma

Nuhu Mziwanda Naye jukwaani kama kawaida yake akiwaimbisha Mashabiki wake ''Msondongoma"Nuh Mziwanda kwa Steji

Wadada wa Dodoma wakiburudishwa na baba Shishi Jukwaani

0 comments :

Post a Comment