Home » » Picha: Muigizaji George Clooney afunga ndoa na mwanasheria

Picha: Muigizaji George Clooney afunga ndoa na mwanasheria

Written By stephen kavishe on Monday, September 29, 2014 | 4:31 PM

Muigizaji maarufu wa Marekani, George Clooney hatimaye amefunga ndoa na mwanasheria wa haki za binadamu, Amal Alamuddin huko Venice, Italia.

Crooney na Alamuddin walipokea salamu za pongezi na kuwatakia heri kutoka kwa maelfu ya watu huku wakifurahia  na marafiki zao wa karibu katika hotel ya kifahari inayojuliikana kama Aman Hotel.
Miongoni mwa wageni waalikwa ni pamoja na Cindy Crawford, Bill Murray, Matt Damon na muimbaji Bono wa kundi la U2.
Angalia picha:

Amal Alamuddin

Bill Murray alikuwa miongoni mwa wageni


Msafara wa boat siku ya harusi

0 comments :

Post a Comment