Home » » MWANAMKE AUAWA KWA KUPIGWA MAWE, KISA KUTOKA I NJE YA NDOA!

MWANAMKE AUAWA KWA KUPIGWA MAWE, KISA KUTOKA I NJE YA NDOA!

Written By stephen kavishe on Sunday, September 28, 2014 | 5:00 PM

Ripoti zinasema kuwa takriban watu 200 akiwemo gavana wa eneo hilo walishuhudia watu wakimpiga mawe mwanamke huyo kwenye mji wa Barowe. 
Mwanamke huyo wa umri wa miaka 30 alikuwa ameshutumiwa kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Wadadisi wanasema kuwa mauaji hayo ni ishara ya ushawishi wa kundi la Al shabaab hata baada ya kushambuliwa na serikali ya Somalia pamoja na vikosi vya muungano wa Afrika. 
Mji wa Barowe ambao uko umbali wa kiomita 200 kutoka mji mkuu Mogadishu umekuwa ngome ya Al Shabaab.

1 comments :

  1. kupiga mawe mwanamke pekee? yukowapi aliyezininaye? au nikiongozi wa dini? maagizo hayo siyo ya mungu

    ReplyDelete