Home » » A YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZITO!

A YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZITO!

Written By stephen kavishe on Monday, September 29, 2014 | 3:00 PM


Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina...
.lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World

0 comments :

Post a Comment