Home » » TISHA SANA: JIONEE PICHA YA CHUMBANI YA KIM NA KANYE INAYOBAMBA ZAIDI MTANDAONI..INA LIKES ZAIDI YA LAKI 8....!NI SHEEEDA!

TISHA SANA: JIONEE PICHA YA CHUMBANI YA KIM NA KANYE INAYOBAMBA ZAIDI MTANDAONI..INA LIKES ZAIDI YA LAKI 8....!NI SHEEEDA!

Written By stephen kavishe on Monday, August 4, 2014 | 2:50 PM

Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha aliyopiga kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West
Picha yenyewe inamuonyesha Kanye West akiwa amelala na status yake ya “Side chicks
be like” ndio inaiongezea umaarufu. Hadi wakati post hii inaenda hewani, picha imepata likes zaidi ya laki 8.

0 comments :

Post a Comment