Home » » MFAHAMU MWANANDONDI ALIEJIBADILISHA KUWA MWANAMKE 1

MFAHAMU MWANANDONDI ALIEJIBADILISHA KUWA MWANAMKE 1

Written By stephen kavishe on Tuesday, August 12, 2014 | 10:00 AM

Frank Maloney, akionekana hapa mwaka 2001, alimsaidia Lenox Lewis kushinda kwenye ngumi za uzito wa juu duniani.Promota wa mchezo wa ngumi wa zamani Frank Maloney ameweka wazi zoezi la ubadilishaji wa jinsia yake ya kiume kwenda ya kike na kuwa mwanamke anae enda kwa jina la Kellie.Akiwa kwenye interview ya In the Mirrior, Kellie alisema kuwa "Hakuzaliwa katika mwili na amekuwa akijua dhahiri kuwa yeye ni mwanamke"Aliongeza kuwa kilichokosewa katika kuzaliwa kwake sasa kinarekbishwa kisayansi, ana akila ya kike na pia alijua yeye ni watofauti akijilinganisha na watoto wengine kwakuwa amekuwa akiwaonea wanawake wivu.Kellie ambae ameolewa mara mbili na ana watoto amesema kuwa kaamua kuishi mwenyewe, pia anauhakika angeweza kufanya kazi ya usimamizi katika mchezo wa ngumi akiwa mwanamke, lakini bado anaweza kwa kuwa mipango yake nikusaidia wengine wapitie njia aliyo pita yeye.Meneja wa kellie kwenye kikundi cha Transgender, Heather Ashto, aliiambia BBC kuwa kellie amekuwa  ni mtu mwenye "akili na shupavu."
Aliongeza kuwa anatumai kellie atakuwa mfano kwa wengine kufanya jambo alilofanya Kellie bila uoga.


Maloney alifahamika kwa ushirika wake na Lenox Lewis pamoja na Jack Outfits


Kellie, akiwa Maloney kabla ya kujibadilisha, ndiye aliemwongoza Lenox Lewis kwenye ushindi wa ndodi za Uzito mkubwa wa juu duniani(World Heavy Weight Champion) kwenye mchezo wa ngumi mwaka 1993

Chanzo: BBC

0 comments :

Post a Comment