Home » » Mapaparazi wanasa picha za Justin Bieber akiwa mapenzini na msichana mpya

Mapaparazi wanasa picha za Justin Bieber akiwa mapenzini na msichana mpya

Written By stephen kavishe on Monday, August 4, 2014 | 3:00 PM4Pop star Justin Bieber aliungana na Kanye West,Kim Kardashian,P.Diddy na mastaa wengine kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Ibiza. Baada ya party ya pamoja kuisha kila mtu aliendelea na party kivyake na Justin Bieber alionekana aki-enjoy muda wake na mshichana asiyejulikana.
Mikao yao na ukaribu wao kutokana na picha zilizopigwa wakiwa kwenye luxury yacht zinaonyesha kabisa wapo kwenye mapenzi. Wawili hao walitumia muda huo kukaa pamoja,kissing,kunywa na vitu vingine vizuri. Mapaparazi hawakuwaacha baada ya kuwapiga picha usiku huo kwasababu hadi asubui walipata picha zao bado wapo pamoja.
Tetesi zinasema kwamba anaweza kuwa ni girlfriend mpya wa Justin Bieber. 6
1
2
3
5
7

0 comments :

Post a Comment